Wakata mkaa wenye roho mbaya Chege na Temba wameachia track yao mpya iitwayo WAUWE na wamemshirikisha kijana mmoja kutoka Mkubwa na Wanawe, Maromboso. Wimbo umefanywa na producer Shirko, mastering imefanywa na Dr. Chali a.k.a Marco Chali wa kutoka MJ Recs.
No comments: