» » » » Lupita Nyong’o akava jarida la Vogue la August 2014

Baada ya Mafanikio makubwa aliyoyapata mwigizaji wa 12 years a Slave Lupita Ngong'o Sasa tunaweza kusema rasmi kuwa amekuwa na mwaka mzuri katika maisha yake yote.


Baada ya kushinda tuzo ya Oscar kwa kuigiza kama msichana mtumwa aitwaye Patsey kwenye filamu iliyoongozwa na Steve McQueen, 12 Years a Slave na kisha kutajwa na jarida la People kama Most Beautiful Person, sasa amekava jarida maarufu la Vogue.

Lupita ataonekana kwenye jarida la August 2014 la Vogue.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply