Habari kwa Ufupi :

» » » Video: Bonge la Nyau ft Ali Kiba - Uaminifu

Tazama video mpya kutoka kwa Bonge la Nyau aliomshirikisha Ali Kiba Audio ya wimbo huu inaitwa 'UAMINIFU' na imeanywa na Bob Junior Kutoka sharobaro records wakati video ya wimbo huu imefanywa na Kwetu studios chini ya Director Msafiri Shabani.



Itazame hapa chini...

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Justin Bieber, Apata wakati mgumu baada ya Majirani wa anapotaka kuhamia huko atlanta kupanga kuandamana
»
Previous
Watoto wa Nelson Mandela kuhudhuria tuzo za Oscars

No comments:

Leave a Reply