Habari kwa Ufupi :

» » » Music: Pharrell ft Jay Z - Frontin ( Disclosure Remix)

Wakati Hit Maker wa Becouse am Happy Pharrell William akisheherekea mafanikio alaiyoyapata katika wimbo wake huo wa mwisho kuuachia kwa media sasa Hit Maker huyo amefanya collabo na Jay Z katika ngoma hii Sikiliza na download latest song kutoka kwa Pharrell na Jay Z, wimbo unaitwa Frontin  ( Disclosure Remix)



Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Hii ndio Collabo nyingine ya Kimataifa atakayoifanya Diamond Platnumz
»
Previous
Video: Tyga ft Young Thug - 'Hookah'

No comments:

Leave a Reply