Habari kwa Ufupi :

» » » Picha: Behind The Scenes Ya Utengenezaji wa Video Mpya ya Kala Jeremiah ‘Simu Ya Mwisho’

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Kala Jeremiah ameingia mzigoni hivi karibuni kuanza ku shoot video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Simu Ya Mwisho’.Kala Jeremiah anatengeneza video mpya ya wimbo wake huo video imeongozwa na Director Pablo wa kampuni ya D360.

Tazama picha zaidi hapa



Moe Music akiwa katika utengenezaji wa video hiyo












Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Music: Maua Sama – Let Them Know
»
Previous
Music: Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo

No comments:

Leave a Reply