Music: Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo Unknown Thursday, June 12, 2014 0 No comments Sikiliza na kudownload nyimbo mpya kutoka kwa Diamond Platnumz kwani leo ameachia kazi yake Mpya halisi ya wimbo uliovuja na kupewa jina Kitorondo. Wimbo huu unaitwa “Mdogo Mdogo” na umetengenezwa na Tudd Thomas. Share !
No comments: