» » » » Picha: Press Conference ya MTV MAMA, Durban (Exclusive)

Hit Maker wa My Numer 1 Diamond Platnumz, Trey Songz, Miguel Mafikizolo, Donald na wasanii wengine, Ijumaa hii waliungana na timu ya MTV Base kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Durban, Afrika Kusini.

Diamond Platnumz akifanyiwa Mahojiano 




Katika mkutano huo, wasanii hao walizungumza masuala mbalimbali kuhusiana na nia ya wao kuungana 
pamoja na kushirikiana ili kuupeleka muziki wa Afrika mbele zaidi. Tazama picha hapa














Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Dawa za kichina Nomaa, zaleta balaa soma hapa
»
Previous
Hii ndio Collabo nyingine ya Kimataifa atakayoifanya Diamond Platnumz

No comments:

Leave a Reply