Uzinduzi wa kituo kipya cha Radio E FM ulifanyika jana Jumapili (June 1) katika viwanja vya Mwembe-Yanga, Temeke jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu kama picha zinavyojieleza.
Wasanii mbalimbali akiwemo Ommy Dimpoz, Shilole, Q-Chilla, PNC Mkude Simba aka Kitale na wengine walikonga nyoyo za mashabiki waliojitokeza.
Tazama picha zaidi hapa chini...
No comments: