Video: Jennifer Lopez – First love Unknown Monday, June 2, 2014 0 No comments Jennifer Lopez ameachia video ya single yake ya pili iitwayo ‘First Love’ kutoka katika album yake mpya ‘AKA’, inayotarajiwa kutoka mwaka huu. Audio ya wimbo huo ilitoka mwanzoni mwa mwezi uliopita (May) na video imetoka rasmi May 29. Share !
No comments: