Video: Wakazi - Sumu ya Panya Unknown Monday, June 2, 2014 0 No comments Tazama hapa video mpya kutoka kwa rapper Wakazi ya wimbo wake ‘Sumu ya Panya’ iliyongozwa na Hefemi. Kwenye video hii rapper Fid Q naye anaonekana na ilichukuliwa katika maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam. Share !
No comments: