» » » Serengeti Fiesta 2014 Mwanza: Wasanii wazungumza na waandishi wa habari (Picha)

Baadhi ya wasanii waliowasili jijini Mwanza kwaajili ya show ya Serengeti Fiesta 2014 itakayofanyika Jumamosi (August 9) katika uwanja wa CCM Kirumba, Ijumaa hii wamekutana na kuzungumza na waandishi wa habari jijini humo.



Miongoni mwa wasinii waliowasili tayari ni pamoja na Nay wa Mitego, Chege,Makomando, Linah, Mr Blue, Nyandu Tozi, Young Killer Msodoki, Vanessa Mdee na wengine wengi. Hizi ni baadhi ya picha zao.

Tazama picha zaidi hapa chini





































Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply