Breaking News:Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni Baada ya CCM Kuilinda Wizara ya Nishati na Madini

Unknown Friday, May 30, 2014 0

Jioni hii katika bunge la Bajeti Mweshimiwa Mbowe ameongoza kambi ya Upinzani kutoka Bungeni kwa kila anachodai wabunge wa CCM wanajaribu ku...

Hawa ndio Mabalozi wapya walioteuliwa na Rais Kikwete

Unknown Thursday, April 17, 2014 0

Dar es Salaam.  Rais Jakaya Kikwete ameteua mabalozi wapya watatu kujaza nafasi zilizoachwa wazi na mabalozi waliostaafu kwa mujibu wa sheri...

Hati ya makubaliano ya muungano yafikishwa bungeni

Unknown Wednesday, April 16, 2014 0

Makamu mwenyekiti wa bunge maalum la katiba, Samia Suluhu Hassan amesema amepokea hati ya makubaliano ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ...

Izzo Bizness aeleza kwa nini hakwenda kumpigia kampeni Ridhiwani

Unknown Tuesday, April 8, 2014 0

Jumapili iliyopita (April 6), Ridhiwani Kikwete alitangazwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kiti cha ubungo wa jimbo la Chalinz...

Rais Jakaya Kikwete atembelea Aberdeen, Scotland

Unknown Wednesday, April 2, 2014 0

R ais Jakaya Kikwete akijaribu kuendesha mfano wa mtambo wa kufundishia namna ya kuchimba mafuta katika visima vilivyo bahari kuu alipotembe...

Jaji Warioba awasilisha rasimu ya katiba, adai muundo wa serikali mbili hauwezi kubaki

Unknown Tuesday, March 18, 2014 0

Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba amewasilisha rasimu ya katiba katika bunge maalum la katiba. Jaji Wari...

Ccm yashinda Ubunge katika Jimbo la Kalenga mkoani Iringa,

Unknown Monday, March 17, 2014 0

Chama cha Mapinduzi, CCM kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, nyanda za juu kusini mwa Tanzania....

Waziri wa uhamiaji wa Uingereza ajiuzulu

Unknown Saturday, February 8, 2014 0

Waziri wa Uhamiaji wa Uingereza, Mark Harper , amejiuzulu baada ya kujulikana kuwa amemuajiri mtu asiyekuwa na kibali cha kubaki nchini. Ali...

Waziri mkuu wa Ukraine ajiuzulu

Unknown Wednesday, January 29, 2014 0

Rais wa Ukraine, Viktor Yanu-kovich, amekubali ombi la kujiuzulu kwa waziri mkuu wa taifa hilo, Mykola Azrov, pamoja na baraza zima la mawaz...

Picha: Hivi ndivyo Chadema walivyoiteka Iringa

Unknown Tuesday, January 28, 2014 0

Helkopta ya Chadema Ikiwasili Iringa Wakazi wa mkoa wa Iringa wakimpokea mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo mweshimiwa Slaa

Zitto Kabwe Aishinda Nguvu kamati Kuu ya Chadema, Ashinda Rufaa yake

Unknown Tuesday, January 7, 2014 0

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameibuka na ushindi baada ya mahakama kuu, jijini Dar es salam Jumanne hii kuamua kuwa mbunge huyo a...

WABUNGE 15 MATATANI NI BAADA YA KUCHUKUA POSHO ZA SAFARI BILA KUSAFIRI UKU WENGINE...

Unknown Monday, December 30, 2013 0

Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaanika wabunge 15, waliobainika kuchukua posho za safari bila kusafiri huku wengine w...

MANGE KIMAMBI "DO YOU THINK ZITTO NA WENZIE WATAUNDA CHAMA CHAO AU WATAKUJA CCM?"

Unknown Sunday, December 1, 2013 0

" So what do you think? Zitto na wenzie wataunda chama chao au wataingia kile chama kizuuuuuuuuuuuuuuriiiiiiiiiiii kinachoitwa CCM? Im ...

ZITTO KABWE : “NILISHIKWA BUTWAA, WAKATI HUO WATU WENGI WALIMDHARAU MBUNGE HUYU….”

Unknown Friday, November 29, 2013 0

Hivi ndivyo mbunge kutoka Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alivyoelezea uhusiano wake wa kazi na Marehemu Amina Chifupa. “Kazi ya kwanza nilifan...

ZITTO KABWE AULIZWA NA CHADEMA KWA NINI ASIVULIWE UANACHAMA

Unknown Wednesday, November 27, 2013 0

Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimewaandikia barua za kuwavua rasmi nyadhifa za uongozi aliyekuwa naibu katibu mkuu Zitto Kabwe ...

MTEI "TUTAENDELEA KUWAFUKUZA WALE WOTE AMBAO NI WASALITI CHADEMA"

Unknown Sunday, November 24, 2013 0

Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin Mtei amesema kuwa chama hicho kitaendelea kuwafukuza wote wanaokihujumu huku a...

TAARIFA YA ZITTO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU KUPOKONYWA UONGOZI CHADEMA

Unknown 0

1. Utangulizi  Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 - 22 Novemba 2013, Kamati Kuu ya CHADEMA, pamoja na mambo mengine,...

TUNDU LISSU "ZITTO NA WENZAKE WATATU WAMEBAINIKA KUKIHUJUMU CHAMA"

Unknown Friday, November 22, 2013 0

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemvua nyadhifa zote Naibu Katibu mkuu wake Zitto Kabwe ambae ni mbunge wa Kigoma Kaskazini. Mwa...

KINANA ATEMBELEA WILAYA YA SONGEA VIJIJINI

Unknown Tuesday, November 19, 2013 0

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Ndugu Jestina Mhagama mara baada ya kuwasili katika e...