» » » » P SQUARE KUNUNUA NDEGE YAO WENYEWE

Mapacha wa kundi la P-Square wako kwenye mpango wa kununua ndege yao binafsi. Wasanii hao kwa sasa wapo kwenye makubaliano na kampuni ya ndege ambayo huwapa ndege wanapohitaji kusafiria lakini sasa wanataka kununua ya kwao.







Katika safari zao nyingi, P-Square hutumia ndege binafsi ya kukodi.


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply