» » » » ROC NATION YA JAY Z YASAINI MKATABA NA UNIVERSAL MUSIC GROUP

Kampuni ya Roc Nation na boss wake rapa Jay Z, wamesaini mkataba wa kufanya kazi pamoja kwa miaka kadhaa na kampuni kubwa kabisa inayosimamia kazi za wasanii duniani, Universal Music Group na lebo hii kwa sasa itakuwa inasimamia usambazaji wa  kazi za rapa huyu pamoja na wasanii wote wanaofanya kazi chini yake, akiwepo bi-shosti Rihanna.
Barry Weis, Jay-Z na Steve Bartels 
Jigga mwenyewe baada ya kukamilisha kisaini dili hili alisema kuwa anajisikia poa sana kufanya nafasi ya kufanya kazi na team ya UMG, ambayo itatoa nafasi nzuri zaidi kwa wasanii wa Roc Nation kufanya kazi zao katika label huru wakiwa na nguvu, uwezo na nafasi kubwa ya kuwafikia raia ambao ndio audience na mashabiki wao.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply