» » » » PICHA YA MTU ANAYEFANANA NA JAY - Z NI PICHA NA COPYRIGHT YA MWAKA 1939 YAWASHANGAZA WATU WENGI



ana wafanyakazi wa maktaba ya Schomburg Center ya New York Marekani wamepata picha ya mtu ya mwaka 1939 anayefanana na Jay-Z kila kitu.


Picha hiyo imewafanya baadhi ya watu waamini kuwa hiyo ni Jay-Z na aliishi mitaa ya Harlem, miaka ya 1930s. Tazama video hii ya TMZ uone wanavyoijadili picha hiyo.




Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply