» » » » New Music: Stamina Ft Rich Mavoko - Jamvi la Wageni




Ni ngoma ambayo kama imerudiwa tena na rapper Stamina pamoja na Rich Mavoko ambao hapo mwanzo waliwahi kutoa ngoma moja iliyoitwa KABWELA.


Safari hii ni kama wameamua kurudia tena ngoma hiyo ambayo wameipa jina la “JAMVI LA WAGENI”ila kwa mistari tofauti kabisa na ata kiitikio ni tofauti pia lakini mdundo wa ngoma hiyo ni ule ule unaofanana na mdundo wa kwenye ngoma ya Kabwela.
Pata time yako ya kuweza kusikiliza hapa chini …


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply