» » » » RAPPER CHIDI BEENZ YUKO MBIONI KUACHIA NGOMA NYINGINE …KALI.....


CEO wa LaFamilia kutoka ILALA, rapper Chidi Beenz anatarajia kuachia ngoma yake nyingine hivi karibuni … Chidi anaetamba sana na goma kama NGOMA ITAMBAE, IT IS WHAT IT IS, MMENISOMA, NIPOKEE n.k. anataraji kufanya hivyo soon kwa watu wake …
Kupitia account yake ya facebook, Chidi amepost, ” Tupo vizuri….deal deal deal….ngoma mpya imeshakua tayari tunasubiri kukusogezea maeneo yako. Kwa watu wangu pekee! Lafamilia ”
Itaitwaje? Itatoka lini? amefanya na nani?? Stay right here tutakujulisha … !!

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply