Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM
» » » » EXCLUSIVE! ZICHEKI PICHA 11 ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA FARIDA - MAPENZI

Mwanadada Farida ambaye kwa muda mrefu alikuwa kimya, hivi karibuni ameshoot video ya wimbo wake mpya, Mapenzi Video hiyo imefanyika jijini Mwanza na kampuni ya One Love Videos chini ya muongozaji, Hyper. Hizi ni baadhi ya picha za shooting ya video hiyo.


Farida na model
Shooting ikiendelea Director Hyper akiwa kazini
Farida akiwa na model wa video hiyo
Farida
Neema akimpamba dada yake Farida
Mdogo wake Farida (Neema) ambaye pia ni meneja wake akihusika kuwapamba
Model

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
MBUNGE ALIYEANGUKA KIKAONI AFARIKI DUNIA MUHIMBILI
»
Previous
ZICHEKI PICHA ZA SCENES ZA MOVIE YA MWISHO YA MAREHEMU STEVEN KANUMBA LOVE AND POWER

No comments:

Leave a Reply