Habari kwa Ufupi :

    3:0
» » » ZICHEKI PICHA ZA SCENES ZA MOVIE YA MWISHO YA MAREHEMU STEVEN KANUMBA LOVE AND POWER

April 7, 2012 ni siku Steven Kanumba aliyofariki katika kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake watanzania kutoka sehemu mbalimbali watakutana kwenye tamasha la bure pale Leaders club kwa lengo la kumuenzi na kuangalia yale aliyofanya katika enzi za uhai wake pamoja na uzinduzi wa filamu yake ya mwisho, Love and Power. Hizi ni baadhi ya picha kwenye filamu hiyo.








Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
EXCLUSIVE! ZICHEKI PICHA 11 ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA FARIDA - MAPENZI
»
Previous
ZITTO KABWE YUPO AFRIKA KUSINI KUMSALIMIA MHARIRI KIBANDA ALIEVAMIWA, PICHA NA ALICHOANDIKA VIKO HAPA

No comments:

Leave a Reply