» » » HAYA NDIYO YANAYOJIRI BAADA YA MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA DAR: MMOJA AFARIKI KWA KUSOMBWA NA MAFURIKO, DARAJA LAFUNIKWA NA MAJI KIMARA


Dar es Salaam -- Habari zilizoifikia “BONGO 61” zinasema kuwa mvua kubwa iliyoanza kunyesha majira ya saa nne asubuhi imesababisha kifo cha mtu mmoja baada kuzolewa na maji ya mvua hiyo huko Tabata Relini, Ilala.


Wananchi waingiwa na taharuki miongoni mwa wakazi wa Kimara-Kilungure kutokana na daraja la eneo hilo kufunikwa kwa maji ya mvua.
Picture
Mtaa wa Azikiwe ukiwa umefurika maji (picha na Jr Botea)
Picture
Wananchi wametahayari wakitafakari jinsi ya kuvuka ng'ambo ya pili na mustakabali wa daraja hilo (picha na Jr Botea)

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply