Home
»
celebrity News
»
News
»
Snura Mushi
» MAMBO SITA USIYOYAFAHAMU KUHUSU MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE SNURA MUSHI
Mambo sita usiyoyafahamu kuhusu mwanadada Snura Mushi
Kufutia interview na mwandada Snura Mushi yafuatayo ni mambo sita ambayo huyafahamu kuhusu mwigizaji huyu mahiri wa bongo movies.
1. Snura alianza kuimba muziki kabla ya kujiingiza kwenye kuigiza na ashawahi kuwa mwimbaji wa taarabu.
2. Hupendelea kuvaa nguo ndefu na zinazoushika vizuri mwili wake kwani anaamani ana umbo zuri sana na anapendeza akivaa nguo ndefu na sio fupi.
3. Snura sio mpenzi wa kuzurura na hupendelea kukaa ndani muda mwingi akitazama Filamu mbalimbali za ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali
4. Hapendi kuzungumzia maisha ya mtu na ni mwanadada mpole na mstaarabu sana
5. Alishawahi kuandaa, kuigiza na kudirect movie aliyoiita “big sister” pamoja na mastaa wengine watano,ambayo baada ya kumaliza kuirekodi na kui “edit” ilipotea mikononi mwa producer na mpaka leo haijawahi kupatikana
6. Hapendelei sana kunywa pombe na huwa anakunywa kidogo sana
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Category: celebrity News News Snura Mushi
Related Posts
Aunt Ezekiel aelezea tuhuma za kutoka kimapenzi na Dancer wa Diamond Plantumz
Mwigizaji wa filamu nchini Aunty ezekiel ameelezea tuhuma zilizozogaa siku kadhaa zilizopita kuwa ...Read more »
08Aug2014Wnafunzi hawa wakutwa wakifanya ngono kweupeeee...
Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngon...Read more »
07Aug2014HII NDIO DAWA YA TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME....
Suala la nguvu za kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa sasa,kwa utafiti uliofan...Read more »
07Aug2014Picha /Video:Hii ndio Ajali iliyotokea Makongo yaua watu 18
Ajali ajali! Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar ...Read more »
21Jun2014Walioshambulia Kenya si Al Shabaab, 'Uhuru Kenyatta'
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema mashambullio yaliyotokea katika mji wa Mpeketoni, Pwani ya Ken...Read more »
17Jun2014Picha: Hvi ndivyo jinsi Director na Kipenzi cha wengi Geogre Tyson alivyoagwa
Mchana wa leo mamia ya Watanzania walifurika katika viwanja vya Leaders Club kuuaga mwili wa Directe...Read more »
04Jun2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: