Habari kwa Ufupi :

» » » » NEW VIDEO>>>DOCHI ft.ALLY KIBA - IMANI


Hallow Fans kwa mara nyingine tena Dochi aachia Video yake ya pili Baada ya ile iitwayo USIMPE MOYO aliyofanya na NGWAIR katika studio za "SEI RECORDS" Kinondoni Studio,Video hii ndio iliyomtambulisha vizuri Dochi katika Industry ya Muziki wa Bongo.

Video Mpya ya IMANI aliyomshirikisha ALLY KIBA ndio Video ya Pili,Track ya Video hii imefanywa katika Studio za  MJ.RECORDS,Chini ya Producer Marco Chali.Video Imefanywa na "APEX VIDEOS"

Enjoy!!!!!!!

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Aslay Feat. Ally Nipishe - Maneno Ya Wahenga (Official Video)
»
Previous
EXCLUSIVE: PASTOR MYAMBA AKIZUNGUMZIA JUU UCHAWI ULIOTUMIKA KWENYE MOVIE YAKE YA GOD'S KINGDOM

No comments:

Leave a Reply