![]() |
TIPTOP Connection likishabulia jukwaani |
![]() |
Kazi ya kuwaunganisha wateja na mtandao wa Airtel ilikuwa ikiendelea kama kawaida |
![]() |
Msanii Madee kutoka kundi la TIPTOP Connection akifanya vitu vyake jukwaani huku mashabiki lukuki wakishuhudia. |
![]() |
Fid Q akipagawisha mashabiki wake katika tamasha hilo |
![]() |
Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Jackson Mmbando akimkabidhi fulana mmoja wa wateja wa Airtel aliyeelezea vizuri kampeni ya Airtel Yatosha |
![]() |
Kikundi cha burudani kikitoa burudani kwa kuigiza kutangaza taarifa ya habari ya Televisheni |
![]() |
Mashabiki hawatulii wote mikon0 juu |
![]() |
Wengine waliamua kupanda juu yamiti kabisa ili waweze shuhudia vizuri! |
No comments: