Home
»
celebrity News
»
Lauryn Hill
»
News
» LAURYN HILL AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI MITATU JELA KWA KOSA LA KUKWEPA KULIPA KODI
Ingawa wakili wa Lauryn Hill aliviambia vyombo vya habari kuwa mteja wake ameshalipa karibu $970,000 ya kodi aliyokuwa akidaiwa, jaji wa huko in Newark, NJ jana alimhukumu rapper huyo kifungo cha miezi mitatu jela.
Wakati wa kusikilizwa kesi hiyo, Lauryn alijitetea kuwa alipotea kwenye biashara ya muziki lakini alidhamiria kujiweka sawa.
“Niliwekwa kwenye system ambayo sikujua uhalisia wake. Mimi ni mtoto wa mtumwa wa zamani. Niliuza kopi milioni 50 na saa nipo hapa kulipa deni la kodi. Kama hiyo haifanani na utumwa basi sijui ni nini,” alisema mahakamani.
Pamoja na utetezi huo, jaji alitoa hukumu hiyo ya miezi mitatu jela, miezi mitatu chini ya ulinzi wa nyumbani na miezi 9 ya kuangaliwa akiwa nje.
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Category: celebrity News Lauryn Hill News
Related Posts
Aunt Ezekiel aelezea tuhuma za kutoka kimapenzi na Dancer wa Diamond Plantumz
Mwigizaji wa filamu nchini Aunty ezekiel ameelezea tuhuma zilizozogaa siku kadhaa zilizopita kuwa ...Read more »
08Aug2014Wnafunzi hawa wakutwa wakifanya ngono kweupeeee...
Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngon...Read more »
07Aug2014HII NDIO DAWA YA TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME....
Suala la nguvu za kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa sasa,kwa utafiti uliofan...Read more »
07Aug2014Picha /Video:Hii ndio Ajali iliyotokea Makongo yaua watu 18
Ajali ajali! Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar ...Read more »
21Jun2014Walioshambulia Kenya si Al Shabaab, 'Uhuru Kenyatta'
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema mashambullio yaliyotokea katika mji wa Mpeketoni, Pwani ya Ken...Read more »
17Jun2014Picha: Hvi ndivyo jinsi Director na Kipenzi cha wengi Geogre Tyson alivyoagwa
Mchana wa leo mamia ya Watanzania walifurika katika viwanja vya Leaders Club kuuaga mwili wa Directe...Read more »
04Jun2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: