Habari kwa Ufupi :

» » » » PRODUCER NAYEKUJA KWA KASI MSWAKI AIMBA WIMBO KAMA NGWEA KATIKA KUMUENZI MSIKILIZE HAPA. . .!




Huu Wimbo Ameimba Producer wa mziki anayejulikana kwa jina la Mswaki Kutoka Studio ya Black Curtains....Ameimba kama Marehemu Ngwear Akiimba baada ya Kifo chake...Sikiliza Hapa chini: Big up Sana Mswaki

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
ARE YOU BEING STRUNG ALONG? IT IS YOUR FAULT THAT YOU ARE!
»
Previous
TAARIFA MAALUM KUHUSU KUTEKWA NA KUUMIZWA KWA ABSALOM KIBANDA..

No comments:

Leave a Reply