Kupitia kwenye kipindi cha redio cha Clouds Fm cha Gossip cop, mwanadada huyu amefunguka na kusema kuwa yeye na Moses ni marafiki tu na wapo karibu sana ila sio kuwa wana mahusiano ya kimapenzi kama watu wananavyodai
Akiongea na gossip cop, aunty alielezea kuwa ndo yake na Mume wake bado ipo vizuri na hawezI kufanya jambo kama hilo na amemtaka mke wa mcheza shoo huyo atafute anayetoka na mume wake kwani sio yeye na aache kumfuatilia.
No comments: