Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM
» » » Big Booty United (BBU): Masogange na Mkenya Corazon wakutana (Picha)

Baada ya kupeana shoutouts kibao kupitia Instagram, warembo wa Afrika Mashariki waliojaaliwa ass(ets) za nguvu, Agnes Masogange na Corazon Kwamboka wa Kenya hatimaye wamekutana.








Agnes na Corazon

Warembo hao ambao asilimia 80 ya picha zao za Instagram huhakisha zinaonesha kile walichobarikiwa zaidi na mwenyezi Mungu (booty), wamekutana nchini Afrika Kusini.

Agnes ,Corazon na Jux

Picha zao zimevutia maoni ya wengi huku mmoja akiandika: It seems big booty girls know each other across Africa na mwingine kuandika: The Clash of the Booties.. Masogange vs Lily. And the winner is..


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Aunt Ezekiel aelezea tuhuma za kutoka kimapenzi na Dancer wa Diamond Plantumz
»
Previous
Nay wa Mitego kuachia wimbo mpya ‘Nimewaka’, video kushoot Dubai au US!

No comments:

Leave a Reply