» » » VURUGU ZATOKEA IRINGA MJINI [PICHA NA MAELEZO]








POLISI YATUMIA NGUVU KUTAWANYA WANANCHI MTAA WA MASHINE TATU, WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO MAARUFU KWA JINA LA MACHINGA WAKIWA NA MBUNGE WAO,
Wananchi wafunga Barabara na kuchoma mataili Barabalani Polisi nao wazidi kupiga mabomu huku wananchi wa kisema Pigeni yaishe tumechoshwa kunyanyaswa kwa sheria ya kuwadhibiti wadogo huku wakubwa wakikosea Sheria haipo.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply