» » » RAIS JAKAYA KIKWETE AREJEA NCHINI BAADA YA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UINGEREZA



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini maelezo aliyokuwa akipewa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda mara tu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Uingereza. Rais Kikwete alirejea nchini tarehe 18.6.2013 usiku baada ya ziara ya kikazi nchini Uingereza.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply