» » » KAMATI YA UONGOZI EALA YATEMBELEA UKUMBI MPYA WA BUNGE




                                          
                                           Hapa wakiingia tayari kwa kuanza  ukaguzi



Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margareth Zziwa, akiwa na Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo, walipotembelea ukumbi mpya wa Bunge la EALA uliopo kwenye jengo la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha Tanzania, tayari kwa kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza tarehe 18/08/2013.


Spika ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi - EALA pamoja na Wabunge wanaounda Kamati ya Uongozi, wakionyesha nyuso za furaha walipokuwa katika ziara hiyo.


Sehemu ya ukumbi wa Bunge la EALA.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply