Bad girl RiRi alikuwa Poland siku kadhaa zilizopita na kilichotokea huko kimekuwa headline kama kawaida yani, alikuwa kwenye moja ya concert zake Ulaya lakini katika siku kadhaa alizokuwa Poland alitumia muda wake pia kwenye beach kupunga upepo lakini kituko cha kwanza kilichomkuta ni pale alipokwenda beach na kujikuta anazungukwa na watu kama Simba akiwa Zoo.
Watu wengi walikuwa wamezunguka kumuangalia Rihanna akiwa Beach…. yani tengeneza picha wewe unakwenda beach alafu watu kama hivi wanakuzingira kukuangalia tu umepumzika….
Siku nyingine Rihanna akiwa hukohuko Poland bata likahamia kwenye concert na inadaiwa kwamba alitoka kwenye club hiyo akiwa amelewa kiasi cha kushindwa hata kutembea, cheki hii video hapa chini inayomuonyesha Rihanna akijaribu kutembea lakini anashindwa hadi anasaidiwa na msaidizi wake…..
No comments: