Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM
» » » » RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA AFRIKA MASHARIKI, AKIFUATANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI GEORGE W. BUSH NA MKEWE WAHUDHURIA LEO DAR





Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George W. Bush na Mkewe Laura na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 3, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 3, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.


Wageni wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 3, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

Picha via: Ikulu

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
OBAMA AREJEA MAREKANI
»
Previous
Picha: Uzinduzi wa Tamasha la Grand Malt na Bongo Movie lawapagawisha wengi jijini mwanza

No comments:

Leave a Reply