» » » » Video: Dj Khaled amtaka Nicki Minaj awe mke wake. Amuliza kama Nick Minaj atakubali Kuolewa na Yeye Akiwa na Pete Yenye Thamani ya Dola 500,000 za Kimarekani




Well this is akward

DJ Khaled anamtaka Nicki Minaj awe mke wake wa maisha. Dj huyo wa Cash Money amepropose uchumba kwa labelmate wake huyo wa YMCMB kwenye video iliyorushwa MTV News.

“I love you, I like you. I want you, I want you to be mine,” amesema Khaled.I’ma be honest with you, I wanna marry you.
Wakati anasema hivyo, Dj Khalid alitoa pete na ‘kupop the question’, “Nicki Minaj, will you marry me?”
Khaled anasisitiza kuwa ni kweli yupo serious, na kuelezea kwanini yeye ni mwanaume bora kwa Nicki.



“Unahitaji mwanaume kama mimi katika maisha yako, ambaye atakutunza na kukuhesimu,” alisema hitmaker huyo ambaye albam yake Suffering From Success itaingia sokoni September 24.
Khaled anadai kuwa alitaka kupropose ndoa kwa Nicki tangu mwaka jana wakati wakishoot video ya ‘Take It to the Head.’
Nicki Minaj bado hajajibu kama amekubali ombi hilo la Dj Khaled au lah!!

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply