Mwimbaji wa ‘Sunshine’ kutoka nchini Kenya Habida Moloney maarufu kama ‘Habida’ amefiwa na baba yake mzazi. Habari hizi za kusikitisha zimethibitishwa na habida jana (July 25).
Habida ambaye hakutoa maelezo zaidi kuhusiana na taarifa hizo alitweet “May the greatest man who lived, my father, rest in peace. I love you daddy and will miss you with all my heart.” Habida amewashukuru mashabiki wake ambao wanaendelea kumfariji kwa salam za pole na maneno ya kumtia nguvu katika kipindi hiki kigumu. “Thanks everyone for your heartfelt love and condolences. No words can express my thanks. Gnite Day 2″.
Bongo 61 tunampenda kutoa pole kwa Habida kwa kumpoteza mtu muhimu katika maisha yake "Baba" Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi "Amen"
No comments: