Home
»
celebrity News
»
Zamaradi Mketema
» Hichi ndicho alichokisema Zamaradi Mketema baada ya Diamond kumnunulia gari Mzee Ngurumo
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz amemnunulia gari mzee ngurumo kama zawadi na heshima yake kwake kwa mzee huyo mkongwe wa muziki hapa nchini.
Mwanadada mtangazaji wa kipindi cha bongo movies nchini kinachooneshwa na kituo cha clouds TV Zamaradi Mketema ameshindwa kuzuia hisia zake baada ya tukio hilo la aina yake na kihistoria hapa nchini na kuamua kuandika yafuatayo kwa Msanii huyu anayefanya vizuri katika mziki wa kizazi kipya kwa sasa.
Kupitia mtandao, Zamaradi ameandika…
“Mtu anapofanya kitu kizuri hatuna budi kumpongeza... ameshafanya mazuri mengi, makubwa mengi na anaendelea kufanya mengi ya kuigwa.. amefanikiwa kuonesha taswira nyingine kabisa ya muziki wa bongo fleva.. ameweza kuprove kwamba kupitia MUZIKI tu unaweza kuishi na kufanya big things.. kiufupi amekuwa role model wa wasanii wengi wanaoanza muziki in EVERYTHING!!! As i said umefanya makubwa mengi lakini hili la kumnunulia Gari mzee Gurumo ambae alikuwa kwenye muziki kwa miaka 53 na hakufaidika chochote na muziki wake linaweza likaonekana la kawaida lkn kwa yeye KUWAZA na KUFANYA kitu cha aina hiyo anastahili pongezi kubwa sana kwakweli..ni moja kati ya makubwa na ya maana uliyoyafanya mwaka huu ...!!!! MUNGU atakubariki sana.. keep on shining @diamondplatnumz
Hongera sana Diamond.
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Category: celebrity News Zamaradi Mketema
Related Posts
Fid Q amzunguzia mama wa mtoto wake Fidelie
Rapper Fid Q amesema ni mapema sana kuzungumzia masuala ya ndoa na mpenzi wake kutoka Jamhuri ya Cze...Read more »
26Sep2015Kajala Ammwagia Zari Minoti!
KIMENUKA tena! Katika kile kinachoonekana kama ni kejeli kwa shosti wake wa zamani, ambaye sasa pic...Read more »
25Sep2015Picha: Tiffah ni Photocopy ya Baba yake Diamond Platnumz
Tiffah, mtoto wa Diamond Platnumz aliyezaa na mpenzi wake wa Uganda, Zari the Bosslady ni kama photo...Read more »
25Sep2015Je Umeshawahi Kujiuliza Kama Kuna Ugomvi Wowote Kati ya Lulu Michael na Wema Sepetu...? Lulu Afunguka Haya
KAMA unafikiri kuna ugonvi kati ya waigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ na Wema Sepet...Read more »
25Sep2015Dk. Cheni Afunguka Kumuoa Lulu!
Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Eliza...Read more »
25Sep2015Mama wa Diamond Aongelea Kuhusu Mjukuu wake Kuwa si Mtoto wa Diamond
Weekend iliyopita mtoto wa Diamond na Zari aitwaye Tiffah alitimiza siku 40 na sura yake kuonyeshwa ...Read more »
25Sep2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: