Kama ameweza kufanya matangazo ya brand kubwa ya Adidas na zingine pamoja na kushiriki kwenye fashion show kubwa duniani, milioni 60 ama zaidi kwa Daxx si pesa ya mawazo. Model huyo wa Tanzania anayefanya kazi nchini Afrika Kusini kwa sasa anacruise mjini na Toyota Land Cruiser VXR, brand new.Vilevile Daxx ana ndoto ya kuigiza katika tasnia ya Bongo Movie Nchini..Hizi ni baadhi ya picha za gari yake mpya itazame hapa chini,,
Mfahamu zaidi Daxx Kwa Kubonyeza Hapa
No comments: