AIRTEL RISING STARS WAKIKABIDHIWA BENDERA KWA AJILI YA SAFARI YA NIGERIA JANA Unknown 12 years ago 0 No comments Tanzania (TFF) ,Angetile Osiah (kushoto) akimkabidhi bendela ya Taifa, Nahodha wa timu ya vijana ya wasichana ya Artel Rising Stars, Stumai Abdallah. Timu hiyo imeondoka jana kuelekea Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars. Share !
No comments: