» » ELIKEM ATUA ZIMBABWE,APOKELEWA NA MAELFU YA WATU




Jana  Ijumaa Septemba 6 katika ukumbi wa Blue Pokelo atamtambulisha mpenzi wake huyo nyumbani kwao katika ukumbi wa Blue.




Aliyekuwa mshiriki wa shindano la BBA‘The Chase’Elikem kutoka nchini Ghana ametua muda mchache uliopita katika ardhi ya nchini Zimbabwe na kupokelewa na mpenzi wake Pokelo na maelfu ya wakazi wa nchi hiyo.



Katika utambulisho huo Elikem atatumia nafasi hiyo kutoa shukrani kwa mashabiki wa Zimbabwe kwa kumpa mpenzi mwenye mapenzi ya dhati kwake.



Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply