» » JK NA DKT. BILAL WAWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MEINRAD DIONES MAOKOLA


1 2894a
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mke wa Rais Mama salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu, Meinrad Diones Maokola, ambaye ni Kaka wa Waziri Mstaafu, Maokola Majogo, aliyefariki jana jijini Dar es Salaam. Shughuli ya kuagwa mwili wa marehemu ilifanyika Masaki jijini Dar es Salaam leo. 
001 33d38
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu, Meinrad Diones Maokola, ambaye ni Kaka wa Waziri Mstaafu, Maokola Majogo, aliyefariki jana jijini Dar es Salaam. Shughuli ya kuagwa mwili wa marehemu ilifanyika Masaki jijini Dar es Salaam leo

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply