» » Nyumba wanaoishi Vanessa Mdee na Feza Kessy yavamiwa na majambaza 6 yenye silaha za moto



Bahati nzuri ni kuwa Vanessa Mdee alikuwa New York Marekani kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa masuala ya afya na Feza Kessy alikuwa kwingine na mishe zake, lasivyo usiku wa kuamkia Alhamis ya Sept 26, ungezalisha story tofauti.
0d05b294b4e511e280ad22000a1fbe2f_7
Usiku huo nyumba yao ya Mbezi wanayoishi pamoja ilivamiwa na majambazi 6 yaliyokuwa na silaha za moto na kufanikiwa kuiba mali kadhaa ikiwemo laptop na friji.
“My house in Mbezi got vandalized by 6 gunmen last night. My sister @ElleLaferrie got out by Gods grace,” aliandika Vanessa.
b882dc58fc4a11e291bd22000a1fbf1d_7
Rais Kikwete akiwa na Elle Laferrie aliyekuwa mpenzi wake na marehemu Ngwair. Elle alikuwa ndani ya nyumba hiyo wakati majambazi hao wamevamia lakini alifanikiwa kukimbia
Kupitia Twitter, jana Feza alizungumza hisia zake kufuatia tukio hilo kwa kuandika:
I’ve been so down yo! Since we got robbed 2nights ago with some armed robbers,I just don’t feel safe. What were the weapons for tho? Did they think I had money?? Been jobless for almost 3months and didn’t win. SMH.”
Tunawapa pole Feza, Vee na Elle.

Credit via:Bongo5 

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply