Habari kwa Ufupi :

» » BAADA YA BRADLEY KUMTWANGA MARQUES KWA POINTI, AMTAKA MAYWEATHER


Bondia Timothy Bradley wa Marekani akisherehekea baada ya kupewa taji la ubingwa wa dunia wa WBO uzito wa Welter, baada ya kumpiga kwa pointi Juan Manuel Marquez wa Mexico usiku wa kuamkia leo mjini Las Vegas. Taji hilo alilitwaa mwaka jana baada ya kumshinda kwa utata Manny Pacquiao. Jaji mmoja tu alimpa ushindi Marquez wa pointi, 116-112 na wengine wakatoa 115-113 kwa Bradley ambaye sasa ana uhakika mpinzani wake ajaye atakuwa mfalme wa ndondi dunian, Floyd Mayweather Jnr. 
 




Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Wanasayansi: Wanaume wenye sauti nzito huvutia zaidi wanawake, lakini sio
»
Previous
KUELEKEA KOMBE LA DUNIA LITAKALO FANYIKA BRAZIL 2014, ROONEY NA GERRARD WAIOKOA ENGLAND

No comments:

Leave a Reply