Ngoma hiyo ipo mahadhi yaleyale ya ki-harakati (HipHop), na hakuna mtu aliyeshirikishwa kwenye ngoma hiyo zaidi ya kupita verse na chorus zote yeye mwenyewe.
Mbali na ngoma hii ikumbukwe kuwa ile Mixtape yake ya Malcom XI inapatikana kwa Tsh. 5000 na T-Shirt kwa Tsh. 15000 tu. Tembelea akaunti zake mtandaoni twitter(Nikki Mbishi @NikkiZohan) na facebook (Nikki Mbishi) kwa info zaidi juu ya mizigo hiyo miwili ambayo pia inapatikana Nyumbani Lounge na Msasani.
Isikiize Iyo Ngoma Hapa Chini.....
No comments: