Producer wa Transformax Records na muimbaji, Lucci Da Don ameachia video ya wimbo wake mpya, Sumu. Video ya wimbo huu ‘club banger’ imeongozwa na Nisher.
Sumu ni wimbo wa mapenzi ambapo Lucci anamuongelea msichana kicheche anayemuona hatari kama Sumu ijapokuwa anamchanganya kwa ujuzi wake. Icheck video hii.
No comments: