» » PENNY ALIKIMBIZWA HOSPITALINI BAADA YA KUONA PICHA YA DIAMOND NA WEMA





Story zilizopo ni juu ya msanii wa Bongo Fleva, Diamond kuendelea kuwachanganya wasichana wa kibongo … na hii ni mpya kabisa … baada ya Penny kuzidiwa pale alipoona picha muda mfupi uliopita kwenye mitandao ya kijamii, kuona Diamond na Wema wako wote kwa mara nyingine tena hapo ndipo ikampelekea DVJ Penny kupoteza fahamu na kukimbizwa hospitali.

Source:GongaMX

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply