» » » PICHA: JE ULISHAWAHI KUZIONA PICHA HIZI ZA DIAMOND AKIWA ON ONE STAGE NA DULLY





Call him prince Dully Sykess or whatever anavyositahili,but i call him,brother dully
the Legend wa Bongo fleva,
kwa mala nyingine tena tulikutana on one stage juzi kwenye concert ya Killi awards music tour.
na hapa mashabiki tuliwapa burudan
halisi ya Utamu...nikuachie picha zijieleze zenyewee













Ipe maneno mwenyewe.......





Haha ha ah..Dully bana..he is so fun..Unawaza nini wakati tunaimba!??







Ukiona hivi,ujue mizuka yangu ileee..ishanipanda




 Image Credit via:ThisisDiamond 

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply