Baadhi ya akina dada waliokuwa wakifurahia muziki mzuri wa asali ya Warembo,Diamond alipokuwa akitumbuiza usiku wa jana ndani ya hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
Mzee wa Ngololo Ngololo,a.k.a Diamond Platnum akiimba sambamba na mwanamuziki wa bendi ya Sky Light usiku wa jana ndani ya hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
Diamond akiimba huku Mkurugenzi wa Skylight Entertaiment,Sebastian Ndege akionekana kufuria muziki muzuri.
Diamond kimapozi zaidi ya kimuziki kwa mashabiki wake.
Baadhi ya Mashabiki wakiburudishwa na mwanamuziki nyota anayetamba kwa sasa kwenye anga ya muziki wa bongofleva,Diamond ndani ya hotel ya Gold Crest usiku wa kuamkia leo jijini Mwanza.
No comments: