» » » » PICHA: KABLA YA BIRTHDAY PARTY YAKE KUFIKA NANDO AFANYA KILELE CHA BIRTHDAY PARTY YAKE MPAKA SIKU RASMI ITAKAPOFIKA




Siku ya tarehe 13/10/2013 ni birthday ya mshiriki wa Big Brother The Chase kutoka Tanzania mwaka huu lakini tofauti na watu wengi washerehekeavyo siku hiyo, Nando ameandaa Party ya siku kumi hadi kufikia kilele cha sherehe hiyo.

Zicheki baadhi ya Picha hizi hapa chini za kilele cha birthday ya nando 









Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply