Msanii wa Genge, Nonini ameacha kutangaza kwenye kituo cha radio cha jijini Nairobi,Kenya, One FM.
Akiongea na Anna Peter wa East Africa Radio, Nonini amesema hajaacha kabisa fani hiyo.
“Sijaacha kabisa, hiyo specific station ndio nimetoka. Hiyo kazi fit sana ya radio naweza ifanya na ntaifanya maisha yangu yote,” alisema.
No comments: