Mwanadada Irene Uwoya ammepa maneno ya busara fan wake kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii hivi karibuni.
Tukio hilo lilikuja baada ya fan huyo kwa jina moja la Hellen kumuandikia Irene uwoya kuwa maneno ya kumshauri kuhusu tattoo yake ya mkononi,
kwanza kabisa mwanadada huyo alimwambia Irene kuwa anampenda sana na pili Irene kama mkristo hatakiwi kuwa na hizo tattoo kwani Mungu hapendi, ndipo Irene Uwoya alimpomjibu kuwa Mungu anaangalia moyo na sio mambo mengine:
“Hellen: dada nakupenda sana....ila wew n mkristo jmn izo tattoo mungu apend cyo siri yan#irene
Irene Uwoya: Mungu anangalia moyo si tattoo”
Kama hii haitoshi fans wengine nao wakaanza kuandika..(Tukinukuu)
Kulwa: Moyo kwa maana ya matendo,tabia muonekano ama sivyo?
Piere: Hata mm mkristo na Tatoo ninazo anaesema mungu apendi kuna mstari gani kwenye vitabu vyake vitakatifu ilipoandikwa hapendi tatoo
No comments: