Unknown
Saturday, October 5, 2013
Hivi karibuni tuliweka albam mpya ya Snoop Dogg ya kundi alilolianzisha na wanae wawili wa kiume, Spanky Danky (Corde Calvin Broadus) na Dirty D (Cordell Broadus) liitwalo Tha Broadus Boyz. Mtazame hapa Snoop akielezea zaidi.
Icheki Video hii hapa chini ....
No comments: